Yoshua 21:8 - Swahili Revised Union Version8 Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii na maeneo ya malisho ya kila mji, kama Mwenyezi Mungu alivyoamuru kupitia kwa Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile bwana alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa. Tazama sura |