Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:7 - Swahili Revised Union Version

7 Na wana wa Merari kwa kufuata jamaa zao walipata miji kumi na miwili katika kabila la Reubeni, na katika kabila la Gadi, na katika kabila la Zabuloni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Jamaa za ukoo wa Merari walipewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Reubeni, Gadi na Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Jamaa za ukoo wa Merari walipewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Reubeni, Gadi na Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Jamaa za ukoo wa Merari walipewa miji kumi na miwili katika maeneo ya makabila ya Reubeni, Gadi na Zebuluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wazao wa Merari, kufuatana na koo zao, walipewa miji kumi na mbili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Na wana wa Merari kwa kufuata jamaa zao walipata miji kumi na miwili katika kabila la Reubeni, na katika kabila la Gadi, na katika kabila la Zabuloni.

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Gershoni walipewa kwa kura miji kumi na mitatu, kulingana na jamaa zao, katika kabila la Isakari, na katika kabila la Asheri, na katika kabila la Naftali, na katika kabila la Manase waliokaa Bashani.

Na wana wa Merari walipewa kwa kura miji kumi na miwili, kulingana na jamaa zao, katika kabila la Reubeni, na katika kabila la Gadi, na katika kabila la Zabuloni.

Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao.

Na wana wa Merari kwa jamaa zao ni Mahli, na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kwa nyumba za baba zao.

Tena wana wa Gershoni walipata kwa kura miji kumi na mitatu katika jamaa za kabila la Isakari, na katika kabila la Asheri, na katika kabila la Naftali, na katika hiyo nusu ya kabila la Manase huko Bashani.

Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo