Hesabu 32:2 - Swahili Revised Union Version2 hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema, Tazama sura |