Hesabu 3:17 - Swahili Revised Union Version Na wana wa Lawi walikuwa ni hawa kwa majina yao; Gershoni, na Kohathi, na Merari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Biblia Habari Njema - BHND Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Neno: Bibilia Takatifu Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Neno: Maandiko Matakatifu Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Lawi walikuwa ni hawa kwa majina yao; Gershoni, na Kohathi, na Merari. |
Basi Daudi akawagawanya kwa zamu zao sawasawa na wana wa Lawi; Gershoni, Kohathi, na Merari.