Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.
Hesabu 26:41 - Swahili Revised Union Version Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia sita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Biblia Habari Njema - BHND Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Neno: Bibilia Takatifu Hizo zilikuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita. Neno: Maandiko Matakatifu Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. BIBLIA KISWAHILI Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita. |
Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.
Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani.
Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
Hao wana wa Benyamini walihesabiwa siku ile kutoka hiyo miji, wanaume elfu ishirini na sita waliokuwa na silaha, mbali na hao waliokaa Gibea, ambao walihesabiwa watu wateule mia saba.