Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Hesabu 26:36 - Swahili Revised Union Version Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Biblia Habari Njema - BHND Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Neno: Bibilia Takatifu Hawa walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani. Neno: Maandiko Matakatifu Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani. |
Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Na wana wa Efraimu kwa jamaa zao; wa Shuthela, jamaa ya Washuthela; wa Beredi, jamaa ya Waberedi; wa Tahathi, jamaa ya Watahathi.
Hawa ndio jamaa wa wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao.