Abrahamu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
Hesabu 22:21 - Swahili Revised Union Version Balaamu akaondoka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na wakuu wa Moabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa. Biblia Habari Njema - BHND Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa. Neno: Bibilia Takatifu Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu. Neno: Maandiko Matakatifu Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu. BIBLIA KISWAHILI Balaamu akaondoka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na wakuu wa Moabu. |
Abrahamu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;
lakini alikaripiwa kwa uhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.