wale waliohesabiwa katika kabila la Isakari, walikuwa watu elfu hamsini na nne na mia nne (54,400).
Hesabu 2:6 - Swahili Revised Union Version na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na nne na mia nne; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu hamsini na nne na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 54,400. BIBLIA KISWAHILI na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na nne na mia nne; |
wale waliohesabiwa katika kabila la Isakari, walikuwa watu elfu hamsini na nne na mia nne (54,400).
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Isakari; na mkuu wa wana wa Isakari atakuwa Nethaneli mwana wa Suari;