wale waliohesabiwa katika kabila la Yuda, walikuwa watu elfu sabini na nne na mia sita (74,600).
Hesabu 2:4 - Swahili Revised Union Version Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sabini na nne na mia sita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74,600. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu sabini na nne na mia sita. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 74,600. BIBLIA KISWAHILI Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sabini na nne na mia sita. |
wale waliohesabiwa katika kabila la Yuda, walikuwa watu elfu sabini na nne na mia sita (74,600).
Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa bendera ya kambi ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Isakari; na mkuu wa wana wa Isakari atakuwa Nethaneli mwana wa Suari;