Hesabu 2:4 - Swahili Revised Union Version4 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sabini na nne na mia sita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74600. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 74,600. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kundi lake lina watu elfu sabini na nne na mia sita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kundi lake lina watu 74,600. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sabini na nne na mia sita. Tazama sura |