Raheli akasema, Kwa mashindano makuu nimeshindana na dada yangu, nikashinda. Akamwita jina lake Naftali.
Hesabu 2:29 - Swahili Revised Union Version kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani, Biblia Habari Njema - BHND “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani, Neno: Bibilia Takatifu Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. Neno: Maandiko Matakatifu Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. BIBLIA KISWAHILI kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani; |
Raheli akasema, Kwa mashindano makuu nimeshindana na dada yangu, nikashinda. Akamwita jina lake Naftali.
tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Ahira mwana wa Enani.