Hesabu 10:20 - Swahili Revised Union Version Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliliongoza kabila la Gadi. Biblia Habari Njema - BHND Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliliongoza kabila la Gadi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliliongoza kabila la Gadi. Neno: Bibilia Takatifu naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. Neno: Maandiko Matakatifu naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. BIBLIA KISWAHILI Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli. |
Ndipo wakasafiri Wakohathi wenye kuvichukua vile vitu vitakatifu; na hao wengine wakaisimamisha maskani kabla hawajaja wao.