Hesabu 10:16 - Swahili Revised Union Version Na juu ya jeshi la kabila la wana wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Eliabu mwana wa Heloni, alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Zebuluni. Biblia Habari Njema - BHND Naye Eliabu mwana wa Heloni, alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Zebuluni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Eliabu mwana wa Heloni, alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Zebuluni. Neno: Bibilia Takatifu naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. Neno: Maandiko Matakatifu naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. BIBLIA KISWAHILI Na juu ya jeshi la kabila la wana wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. |
Na maskani ilishushwa; na wana wa Gershoni, na wana wa Merari, walioichukua maskani, wakasafiri kwenda mbele.