Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.
Hesabu 10:13 - Swahili Revised Union Version Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose. Biblia Habari Njema - BHND Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose. Neno: Bibilia Takatifu Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Mwenyezi Mungu kupitia kwa Musa. Neno: Maandiko Matakatifu Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la bwana kupitia kwa Musa. BIBLIA KISWAHILI Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa. |
Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.
Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya BWANA walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya BWANA walisafiri.
bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa.
BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;