Hesabu 10:12 - Swahili Revised Union Version12 Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari zao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 nao Waisraeli wakaanza safari yao kutoka jangwa la Sinai. Wingu hilo lilipaa na hatimaye likatua katika jangwa la Parani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine hadi wingu lilipotua katika Jangwa la Parani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari yao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani. Tazama sura |