Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 10:13 - Swahili Revised Union Version

13 Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Mwenyezi Mungu kupitia kwa Musa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la bwana kupitia kwa Musa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Nao wakasafiri kwanza kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.

Tazama sura Nakili

Hesabu 10:13
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

Na pengine lile wingu lilikaa juu ya maskani siku chache; ndipo kwa amri ya BWANA walikaa katika kambi yao, tena kwa amri ya BWANA walisafiri.

bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa.

BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo