Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 10:14 - Swahili Revised Union Version

14 Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Wale waliokuwa chini ya bendera ya kikosi cha kabila la Yuda, walitangulia, kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wale waliokuwa chini ya bendera ya kikosi cha kabila la Yuda, walitangulia, kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wale waliokuwa chini ya bendera ya kikosi cha kabila la Yuda, walitangulia, kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya beramu yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

Tazama sura Nakili

Hesabu 10:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.

Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.

Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.

Haya ndiyo majina ya wanaume watakaokusaidia; Wa Reubeni; Elisuri mwana wa Shedeuri.

Wa Yuda; Nashoni mwana wa Aminadabu.

Na juu ya jeshi la kabila la wana wa Isakari alikuwa Nethaneli mwana wa Suari.

Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha sana, makambi yaliyoko upande wa mashariki yatasafiri. Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha ya pili, makambi yaliyoko upande wa kusini yatasafiri;

Basi aliyetoa matoleo yake siku ya kwanza ni Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo