Hesabu 9:23 - Swahili Revised Union Version23 bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa amri ya Mwenyezi Mungu walipiga kambi, na kwa amri ya Mwenyezi Mungu waliondoka. Walitii amri ya Mwenyezi Mungu, kufuatana na agizo lake kupitia Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa amri ya bwana walipiga kambi, na kwa amri ya bwana waliondoka. Walitii amri ya bwana, kufuatana na agizo lake kupitia Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa. Tazama sura |