Hesabu 1:37 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Benyamini, walikuwa watu elfu thelathini na tano na mia nne (35,400). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 35,400. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 35,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 35,400. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu elfu thelathini na tano na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Benyamini, walikuwa watu elfu thelathini na tano na mia nne (35,400). |
Katika wana wa Benyamini, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Dani, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia sita.
Hao wana wa Benyamini walihesabiwa siku ile kutoka hiyo miji, wanaume elfu ishirini na sita waliokuwa na silaha, mbali na hao waliokaa Gibea, ambao walihesabiwa watu wateule mia saba.