Katika wana wa Manase, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:35 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Manase, walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili (32,200). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 32,200. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 32,200. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 32,200. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Manase, walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili (32,200). |
Katika wana wa Manase, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Benyamini, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili;
Hawa ndizo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba.