Katika wana wa Zabuloni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:31 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Zabuloni, walikuwa watu elfu hamsini na saba na mia nne (57,400). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 57,400. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 57,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 57,400. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu elfu hamsini na saba na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Zabuloni, walikuwa watu elfu hamsini na saba na mia nne (57,400). |
Katika wana wa Zabuloni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Yusufu, maana katika wana wa Efraimu, vizazi vyao kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani,