Na wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanamume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:21 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arubaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 46,500. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 46,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 46,500. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu elfu arobaini na sita na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arobaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja. |
Na wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanamume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Simeoni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, wale waliohesabiwa kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanaume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini.