Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Hesabu 1:11 - Swahili Revised Union Version Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni; Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni; Neno: Bibilia Takatifu kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; BIBLIA KISWAHILI Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni. |
Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni;