Hata Shekania, mwana wa Yehieli, mmoja wa wazawa wa Elamu, akajibu, akamwambia Ezra, Sisi tumemkosea Mungu wetu, nasi tumeoa wanawake wageni wa watu wa nchi hizi; lakini bado kuna tumaini kwa Israeli katika jambo hili.
Ezra 8:7 - Swahili Revised Union Version Na wa wana wa Elamu, Yeshaya, mwana wa Athalia; na pamoja naye wanaume sabini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70. Biblia Habari Njema - BHND Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume sabini; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume 70 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Elamu, Yeshaya, mwana wa Athalia; na pamoja naye wanaume sabini. |