Ezra 8:12 - Swahili Revised Union Version Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Biblia Habari Njema - BHND Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume mia moja na kumi; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume 110 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi. |
Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.