Ezra 8:11 - Swahili Revised Union Version11 Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume ishirini na nane; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane. Tazama sura |