Ezra 8:12 - Swahili Revised Union Version12 Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume mia moja na kumi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume 110 pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi. Tazama sura |