Ezra 8:11 - Swahili Revised Union Version Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Biblia Habari Njema - BHND Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume ishirini na nane; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane. |
Na wa wana wa Binui, Shelomithi, mwana wa Yosifia; na pamoja naye wanaume mia moja na sitini.
Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi.