Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.
Ezra 2:3 - Swahili Revised Union Version wazawa wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Biblia Habari Njema - BHND Wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili (2,172); BIBLIA KISWAHILI wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili. |
Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.
ndio hawa waliokuja pamoja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu, na Baana. Hii ndiyo hesabu ya watu wa Israeli;
Basi hawa ndio wakuu wa koo za baba zao, na hii ndiyo nasaba ya wale waliokwea pamoja nami kutoka Babeli, wakati wa kutawala kwake mfalme Artashasta.
wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini.
Baada yake akajenga Palali, mwana wa Uzai, kuelekea ugeukapo ukuta, nao mnara utokezao penye nyumba ya juu ya kifalme, iliyopo karibu na uwanda wa walinzi. Baada yake akajenga Pedaya, mwana wa Paroshi,