Ezra 8:3 - Swahili Revised Union Version3 wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu mia moja na hamsini walioandikishwa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu 150 walioandikishwa pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini. Tazama sura |