Ezra 8:4 - Swahili Revised Union Version4 Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume mia mbili; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili; Tazama sura |