Ezra 10:21 - Swahili Revised Union Version Na wa wazawa wa Harimu; Maaseya, na Eliya, na Shemaya, na Yehieli, na Uzia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukoo wa Harimu: Maaseya, Elia, Shemaya, Yehieli na Uzia. Biblia Habari Njema - BHND Ukoo wa Harimu: Maaseya, Elia, Shemaya, Yehieli na Uzia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukoo wa Harimu: Maaseya, Elia, Shemaya, Yehieli na Uzia. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Ilya, Shemaya, Yehieli na Uzia. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Ilya, Shemaya, Yehieli na Uzia. BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Harimu; Maaseya, na Eliya, na Shemaya, na Yehieli, na Uzia. |
Na wa wazawa wa Pashuri; Elioenai, na Maaseya, na Ishmaeli, na Nethaneli, na Yozabadi, na Elasa.
Ndipo akasimama Yoshua, mwana wa Yosadaki, na ndugu zake makuhani, na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na ndugu zake, nao wakaijenga madhabahu ya Mungu wa Israeli, ili kutoa sadaka za kuteketezwa juu yake, kama ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, mtu wa Mungu.