Danieli 4:28 - Swahili Revised Union Version Hayo yote yakampata mfalme Nebukadneza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hayo yote yalimpata mfalme Nebukadneza. Biblia Habari Njema - BHND Hayo yote yalimpata mfalme Nebukadneza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hayo yote yalimpata mfalme Nebukadneza. Neno: Bibilia Takatifu Haya yote yalimpata Mfalme Nebukadneza. Neno: Maandiko Matakatifu Haya yote yalimpata Mfalme Nebukadneza. Swahili Roehl Bible 1937 Hayo yote yakampata mfalme Nebukadinesari. |
Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, alishushwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
Lakini maneno yangu, na amri zangu nilizowaagiza hao manabii, watumishi wangu, je, Hazikuwapata baba zenu? Nao wakatubu na kusema, BWANA wa majeshi ametutenda kulingana na njia zetu, na matendo yetu, kama alivyokusudia kutenda.
Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalitimiza?