Danieli 4:29 - Swahili Revised Union Version29 Baada ya miezi kumi na miwili, alikuwa akitembea ndani ya jumba la kifalme katika Babeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme Nebukadneza alikuwa anatembea juu ya dari ya ikulu ya mji wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme Nebukadneza alikuwa anatembea juu ya dari ya ikulu ya mji wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme Nebukadneza alikuwa anatembea juu ya dari ya ikulu ya mji wa Babuloni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Miezi kumi na mbili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Miezi kumi na miwili baadaye, mfalme alipokuwa akitembea juu ya paa la jumba la kifalme la Babeli, Tazama suraSwahili Roehl Bible 193729 miezi kumi na miwili ilipopita, siku moja alipotembea huko Babeli jumbani mwake mwa kifalme juu, Tazama sura |