2 Yohana 1:11 - Swahili Revised Union Version Maana yeye ampaye salamu azishiriki kazi zake mbovu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Biblia Habari Njema - BHND Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Neno: Bibilia Takatifu Yeyote amkaribishaye mtu kama huyo anashiriki katika matendo yake maovu. Neno: Maandiko Matakatifu Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. BIBLIA KISWAHILI Maana yeye ampaye salamu azishiriki kazi zake mbovu. |
Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi.
na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.