Waebrania 5:13 - Swahili Revised Union Version13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kila anayepaswa kunywa maziwa ni mtoto bado, hajui uadilifu ni nini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kila anayepaswa kunywa maziwa ni mtoto bado, hajui uadilifu ni nini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kila anayepaswa kunywa maziwa ni mtoto bado, hajui uadilifu ni nini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa maana yeyote aishiye kwa kunywa maziwa bado yeye ni mtoto mchanga, hana ujuzi katika mafundisho kuhusu neno la haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa maana yeyote aishiye kwa kunywa maziwa bado yeye ni mtoto mchanga, hana ujuzi katika mafundisho kuhusu neno la haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga. Tazama sura |