Wana wa Israeli nao wakahesabiwa, wakapewa vyakula, wakaenda kupigana nao; wakatua wana wa Israeli mbele yao kama vikundi viwili vya wana-mbuzi; bali Washami wakaijaza nchi.
2 Wafalme 3:6 - Swahili Revised Union Version Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani. BIBLIA KISWAHILI Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote. |
Wana wa Israeli nao wakahesabiwa, wakapewa vyakula, wakaenda kupigana nao; wakatua wana wa Israeli mbele yao kama vikundi viwili vya wana-mbuzi; bali Washami wakaijaza nchi.
Akaenda akatuma kwa Yehoshafati mfalme wa Yuda, akasema, Mfalme wa Moabu ameniasi; je! Utakwenda pamoja nami tupigane na Moabu? Akasema, Nitakwenda; mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi wangu ni kama farasi wako.
Naye akawahesabu huko Bezeki; Waisraeli walikuwa elfu mia tatu, na Wayuda elfu thelathini.
Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari wa miguu elfu mia mbili na watu elfu kumi wa Yuda.