2 Wafalme 3:5 - Swahili Revised Union Version5 Lakini ikawa, Ahabu alipokufa, mfalme wa Moabu akamwasi mfalme wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini Ahabu alipofariki, mfalme wa Moabu alimwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini Ahabu alipofariki, mfalme wa Moabu alimwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini Ahabu alipofariki, mfalme wa Moabu alimwasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini baada ya Ahabu kufa, mfalme wa Moabu aliasi dhidi ya mfalme wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini baada ya Ahabu kufa, mfalme wa Moabu aliasi dhidi ya mfalme wa Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Lakini ikawa, Ahabu alipokufa, mfalme wa Moabu akamwasi mfalme wa Israeli. Tazama sura |