2 Wafalme 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote. Tazama sura |