1 Samueli 15:4 - Swahili Revised Union Version4 Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari wa miguu elfu mia mbili na watu elfu kumi wa Yuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu elfu mia mbili, na elfu kumi kutoka Yuda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu 200,000 pamoja na watu 10,000 kutoka Yuda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari wa miguu elfu mia mbili na watu elfu kumi wa Yuda. Tazama sura |