Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.
2 Samueli 22:41 - Swahili Revised Union Version Naam, adui zangu umewafanya wanipe visogo, Ili niwakatilie mbali wanaonichukia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uliwafanya adui zangu wakimbie, na wale walionichukia niliwaangamiza. Biblia Habari Njema - BHND Uliwafanya adui zangu wakimbie, na wale walionichukia niliwaangamiza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uliwafanya adui zangu wakimbie, na wale walionichukia niliwaangamiza. Neno: Bibilia Takatifu Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. Neno: Maandiko Matakatifu Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, nami nikawaangamiza adui zangu. BIBLIA KISWAHILI Naam, adui zangu umewafanya wanipe visogo, Ili niwakatilie mbali wanaonichukia. |
Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.
Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuoneshe maungo yao.
Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.
Kisha ikawa hapo walipomletea Yoshua hao wafalme watano hapo nje, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli, akawaambia majemadari wa watu wa vita waliokwenda naye, Haya, jongeeni karibu, mweke nyayo za miguu yenu katika shingo za wafalme hawa. Nao wakajongea karibu, wakatia nyayo zao katika shingo zao.