Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 22:42 - Swahili Revised Union Version

42 Walitazama, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; Walimwita BWANA, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Walipiga yowe, lakini hapakuwa na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi Mungu, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia bwana, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

42 Walitazama, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; Walimwita BWANA, lakini hakuwajibu.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 22:42
10 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Mungu atakisikia kilio chake, Taabu zitakapomfikia?


Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.


Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu.


Katika siku hiyo mwanadamu atamwangalia Muumba wake, na macho yake yatamtazama Mtakatifu wa Israeli.


Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.


Mwanadamu, sema na wazee wa Israeli, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Mmekuja kuniuliza neno? Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sitaulizwa neno na ninyi.


Ndipo watakapomwomba BWANA, asiwaitikie; naam, atawaficha uso wake wakati huo, kwa kadiri walivyotenda mabaya kwa matendo yao.


Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo