Mungu njia yake ni kamilifu; Ahadi ya BWANA imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote wanaomkimbilia.
2 Samueli 22:30 - Swahili Revised Union Version Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu ninaruka ukuta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Biblia Habari Njema - BHND Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Neno: Bibilia Takatifu Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. BIBLIA KISWAHILI Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu ninaruka ukuta. |
Mungu njia yake ni kamilifu; Ahadi ya BWANA imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote wanaomkimbilia.
Kisha mfalme na watu wake wakaenda Yerusalemu ili kupigana na Wayebusi, wenyeji wa nchi ile; nao wakamwambia Daudi, hutaingia humu kamwe; maana hata vipofu na viwete watakufukuzia mbali; huku wakidhania ya kuwa Daudi hawezi kuingia humo.
Lakini katika mambo hayo yote sisi ni zaidi ya washindi, kupitia kwake yeye aliyetupenda.