2 Samueli 22:10 - Swahili Revised Union Version Aliziinamisha mbingu akashuka; Kukawa na giza kuu chini ya miguu yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliinamisha anga, akashuka chini; na wingu jeusi chini ya miguu yake. Biblia Habari Njema - BHND Aliinamisha anga, akashuka chini; na wingu jeusi chini ya miguu yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliinamisha anga, akashuka chini; na wingu jeusi chini ya miguu yake. Neno: Bibilia Takatifu Akazipasua mbingu akashuka chini, mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Akazipasua mbingu akashuka chini, mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. BIBLIA KISWAHILI Aliziinamisha mbingu akashuka; Kukawa na giza kuu chini ya miguu yake. |
Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,
Ikawa siku ya tatu, wakati wa asubuhi, palikuwa na ngurumo na umeme, na wingu zito juu ya mlima, na sauti ya baragumu iliyolia sana. Watu wote waliokuwa kituoni wakatetemeka.
BWANA si mwepesi wa hasira, ana uweza mwingi, wala hatamhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; BWANA ana njia yake katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni mavumbi ya miguu yake.
Mkakaribia, mkasimama chini ya ule mlima; mlima ukawaka moto mpaka kati ya mbinguni, kwa giza na mawingu, na giza kuu.