Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.
1 Wakorintho 9:4 - Swahili Revised Union Version Je! Hatuna uwezo wa kula na kunywa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, hatuna haki ya kula na kunywa? Biblia Habari Njema - BHND Je, hatuna haki ya kula na kunywa? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, hatuna haki ya kula na kunywa? Neno: Bibilia Takatifu Je, hatuna haki ya kula na kunywa? Neno: Maandiko Matakatifu Je, hatuna haki ya kula na kunywa? BIBLIA KISWAHILI Je! Hatuna uwezo wa kula na kunywa? |
Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.
wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo; maana mfanyakazi astahili posho yake.
Basi, kaeni katika nyumba iyo hiyo, mkila na kunywa vya kwao; maana, mfanya kazi amestahili kupewa ujira wake. Msihamahame kutoka nyumba hii kwenda nyumba hii.
Hatukutafuta utukufu kwa wanadamu, wala kwenu, wala kwa wengine, ingawa tungeweza kuwalemea kama Mitume wa Kristo;
Maana, ndugu, mnakumbuka taabu yetu na masumbufu yetu; kwa kuwa mchana na usiku tulifanya kazi tusije tukamlemea mtu wa kwenu awaye yote, huku tukiwahubiria Injili ya Mungu.