Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 22:7 - Swahili Revised Union Version

7 Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Jua linapotua, atakuwa safi, na baadaye anaweza kula sadaka takatifu, kwa kuwa ni vyakula vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakati jua linapotua, atakuwa safi, na baadaye anaweza kula sadaka takatifu, kwa kuwa ni vyakula vyake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.

Tazama sura Nakili

Walawi 22:7
7 Marejeleo ya Msalaba  

Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.

huyo mtu atakayegusa kitu chochote namna hiyo atakuwa najisi hata jioni, naye hatakula katika vitu vitakatifu, asipooga mwili wake majini.

Vitu hivi vitakuwa vyako katika vile vilivyo vitakatifu sana, visiteketezwe motoni; matoleo yao yote, maana, kila sadaka yao ya unga, na kila sadaka yao ya dhambi, na kila sadaka yao ya hatia watakayonitolea, vitakuwa vitakatifu sana kwa ajili yako wewe na kwa wanao.

Je! Hatuna uwezo wa kula na kunywa?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo