Luka 10:7 - Swahili Revised Union Version7 Basi, kaeni katika nyumba iyo hiyo, mkila na kunywa vya kwao; maana, mfanya kazi amestahili kupewa ujira wake. Msihamahame kutoka nyumba hii kwenda nyumba hii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kaeni katika nyumba hiyo mkila na kunywa wanavyowapeni, maana mfanyakazi anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kaeni katika nyumba hiyo mkila na kunywa wanavyowapeni, maana mfanyakazi anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kaeni katika nyumba hiyo mkila na kunywa wanavyowapeni, maana mfanyakazi anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi, kaeni katika nyumba hiyo hiyo, mkila na kunywa vya kwao; maana, mtendakazi amestahili kupewa ujira wake. Msihamehame kutoka nyumba hii kwenda nyumba hii. Tazama sura |