vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.
1 Wakorintho 11:1 - Swahili Revised Union Version Mniige mimi kama mimi ninavyomwiga Kristo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Biblia Habari Njema - BHND Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Neno: Bibilia Takatifu Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi. Neno: Maandiko Matakatifu Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi. BIBLIA KISWAHILI Mniige mimi kama mimi ninavyomwiga Kristo. |
vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.