Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wakorintho 11:1 - Swahili Revised Union Version

1 Mniige mimi kama mimi ninavyomwiga Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Mniige mimi kama mimi ninavyomwiga Kristo.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 11:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.


Basi, nawasihi mnifuate mimi.


Ndugu zangu, mnifuate mimi, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliowapa ninyi.


Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.


Si kwamba hatuna haki hiyo, ila kwa makusudi ya kuwapa mfano wa kuiga, mtufuate.


ili msiwe wavivu, bali mkawe kama hao wazirithio ahadi kwa imani na uvumilivu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo