Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
1 Timotheo 2:13 - Swahili Revised Union Version Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. Biblia Habari Njema - BHND Maana Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Hawa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Hawa. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye. |
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe hai.
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto; hata hivyo, hamu yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.